Kuna haja ya kuendelea kuwa na EWURA?

Kuna haja ya kuendelea kuwa na EWURA?

dyuteromaikota

JF-Expert Member
Joined
Apr 30, 2013
Posts
5,929
Reaction score
8,327
Kama kila siku wanapandisha mafuta kwa kile wanachokiita kupanda kwa bei ya mafuta soko la dunia, kuna umuhimu wa kuendelea kuwa nao?

Sana sana wanaongeza mzigo tu kwa serikali na kwa wananchi maana kwenye ile bei kutakuwa na chao tu.
Yaani full tank ni bei sana mpaka hasira.
 
EWURA sio wazalishaji ni wadhibiti na majukumu yao ni kuwalinda watumiaji wa nishati na maji na kama EWURA isingekuwepo ninaamini ungekuja kulalamika zaidi ya Hapa maana bei ingekuwa juu Kuliko sasa. ni ngumu sana kudhibiti usichozalisha, EWURA wanajitahidi sana.
 
OPEC kila kukicha wanapunguza uzalishaji Ili bei ya mafuta ipande wapate faida, Sasa ewura wafanyeje?
 
Ht km Tanzania ingekuwa mzalishaji wa mafuta Bado bei ya mafuta ingekuwa hivihivi kwakuwa ni soko la Dunia ndio linadetermine bei
 
EWURA sio wazalishaji ni wadhibiti na majukumu yao ni kuwalinda watumiaji wa nishati na maji na kama EWURA isingekuwepo ninaamini ungekuja kulalamika zaidi ya Hapa maana bei ingekuwa juu Kuliko sasa. ni ngumu sana kudhibiti usichozalisha, EWURA wanajitahidi sana.
Lakini pia pengine yangeshuka zaidi kutokana na kila mfanyabiashara angeingiza kwa bei nafuu na kuuza kwa ushindani
 
Back
Top Bottom