dyuteromaikota
JF-Expert Member
- Apr 30, 2013
- 5,929
- 8,327
My point exactly, kama huna cha kufanya kuna umuhimu gani wa wewe kuwepo?OPEC kila kukicha wanapunguza uzalishaji Ili bei ya mafuta ipande wapate faida, Sasa ewura wafanyeje??
Kwa hiyo unakubaliana nami hawawez fanya chochote?Ht km Tanzania ingekuwa mzalishaji wa mafuta Bado bei ya mafuta ingekuwa hivihivi kwakuwa ni soko la Dunia ndio linadetermine bei
Lakini pia pengine yangeshuka zaidi kutokana na kila mfanyabiashara angeingiza kwa bei nafuu na kuuza kwa ushindaniEWURA sio wazalishaji ni wadhibiti na majukumu yao ni kuwalinda watumiaji wa nishati na maji na kama EWURA isingekuwepo ninaamini ungekuja kulalamika zaidi ya Hapa maana bei ingekuwa juu Kuliko sasa. ni ngumu sana kudhibiti usichozalisha, EWURA wanajitahidi sana.