Kuna haja ya kufanyika uchaguzi kutokana na haya tuyaonayo?

Kuna haja ya kufanyika uchaguzi kutokana na haya tuyaonayo?

Lior

JF-Expert Member
Joined
Jul 30, 2018
Posts
1,617
Reaction score
3,697
Wakuu salam
Nawaza tangu wimbi la kuhama vyama limeanza sijawahi kusikia vyama vya upinzani vimeshinda na kutangazwa.
Je kuna haja ya kuendelea kushiriki uchaguzi ili hali tunajua matokeo?
 
Umekosea ndugu Hebu angalia jukwaa ulo weke hii mada
 
Nawashangaa wapinzani wanaopeleka wagombea huku wakijua hawawezi shinda
 
mm kama FB (fundi bishoo) nasema siijui kama kuna Siku nitapiga kura japokua sina chama cha siasa
 
Back
Top Bottom