Kuna haja ya kugawana nusu kwa nusu baada ya talaka??

Pdidy

JF-Expert Member
Joined
Nov 22, 2007
Posts
57,951
Reaction score
32,619
Wana ndugu embu tusaidiane kwa hili
kuna watu wengi wanapoteza haki zao bila kujua
kama mnavyojua kuna wanaume wengi wanaoa kwa malengo fulani labda mwenzio ana pesa zaidi yake sasa mwingine anafikiri kwa sababu ya ndoa anaweza kula kona na kutarajia nusu mali...sasa kwa wenye kujua sheria za ndoa za kugawana mali embu tuwasaidie wengine hil jamani
jumamosi njema
 
du hapa ngoja kwanza narudi hili swala ni nyeti sana mama mia
 
Mama Mia avator yako ni very creative . Inamaana hiyo train itapitiza ? Yaani.Ngoja tuone mwisho.
 
Avatar ya MA'100 maana yake, wembamba wa train, engine kubwa inapita (nionavyo mimi)

Thread ya Mama Mia mbona wanaJf hamuijadili??????????????Hata mimi nasubiri kwa hamu
 
Avatar ya MA'100 maana yake, wembamba wa train, engine kubwa inapita (nionavyo mimi)

Thread ya Mama Mia mbona wanaJf hamuijadili??????????????Hata mimi nasubiri kwa hamu
Hapo kwenye nyekundu ingesomeka Reli!! ila ngoja niende kwenye ile thread ya Avatar yako inamaanisha nn!! nadhani Ma' 100 atakua ameelezea!
 
Kisheria, hakuna kitu kinaitwa kugawana 50/50 au nusu nusu.
Wengi wanapotosha dhana nzima ya kugawana mali.Busara ya sheria ni kutoa haki kufuatana na mchango wa wahusika katika kuchuma mali ili wanapoamua kuachana kila mtu aondoke na jasho lake.Huwezi kumkuta mtu na mali zake ukadhani utagawiwa nusu/nusu au huwezi kumgeuza mwenzio hausigel/(hausiboi kama wapo)
akutunzie nyumba na watoto na wewe mwenyewe ili uweze kutoka kutafuta mali halafu siku ya siku umpige kibuti bila chochote.Hii ni kwa uchache tu.
 
Kuna report moja niliiisoma ya tume kuhusu marekebisho ya Sheria hii kwa ufupi sehemu ilisomeka ivi.....

where separate property system operates.


Jamaa wakaja na hizi recommendations!​
[FONT=PalatinoLinotype,Bold][FONT=PalatinoLinotype,Bold]
[FONT=PalatinoLinotype,Bold][FONT=PalatinoLinotype,Bold]
3.0 RECOMMENDATIONS FOR REFORM

dealing with the issue of custody and maintenance of children.
[/FONT]​
[/FONT]​

[/FONT]
[/FONT]Sasa sijua haya mapendekezo yalishafanyiwa kazi au La!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…