Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
wameniongezea mkopo nilikua nao kidogo sana!!big up to heslb
urasimu umetawala helsb kwa mtindo huu ha2fiki. helsb needs to change
mshukuru MUNGU pia tambua mkopo ni haki yako maana hizo ni kodi za watanzania wala siyo ccm!! Kasome na ukihitimu kumbuka kurejesha mkopo na wadogo zako nao waweze kunufaika!!!
wameniongezea mkopo nilikua nao kidogo sana!!big up to heslb
wengine wamekosa kabisa huku wengine wanaongezewa!! Hakika kale kamsemo ka aliyenacho huongezewa kanatimia,..
Ungeweka wazi sababu zilizofanya wakose siyo kuropoka tu.Elimu yako haijakusaidia,unasema ccm wamefanyaje? Wangapi wamekosa mkopo kwa sababu ya ufisadi wa baadhi ya wana ccm? Mkopo hautolewi na ccm bali ni kodi za watanzania wenyewe ambao mwisho wa siku wanadhurumiwa haki yao,open your mind and wake up!
How be open mkuu.urasimu umetawala helsb kwa mtindo huu ha2fiki. helsb needs to change
Ungeweka wazi sababu zilizofanya wakose siyo kuropoka tu.
Ulitaka nini???????.Halafu???
wengine wamekosa kabisa huku wengine wanaongezewa!! Hakika kale kamsemo ka aliyenacho huongezewa kanatimia,..
CCM ndio nini?