kuna haja ya kuichagua tena ccm 2015

Mechanics

JF-Expert Member
Joined
Apr 27, 2013
Posts
295
Reaction score
26
wameniongezea mkopo nilikua nao kidogo sana!!big up to heslb
 
mshukuru MUNGU pia tambua mkopo ni haki yako maana hizo ni kodi za watanzania wala siyo ccm!! Kasome na ukihitimu kumbuka kurejesha mkopo na wadogo zako nao waweze kunufaika!!!
 
urasimu umetawala helsb kwa mtindo huu ha2fiki. helsb needs to change
 
wengine wamekosa kabisa huku wengine wanaongezewa!! Hakika kale kamsemo ka aliyenacho huongezewa kanatimia,..
 
mshukuru MUNGU pia tambua mkopo ni haki yako maana hizo ni kodi za watanzania wala siyo ccm!! Kasome na ukihitimu kumbuka kurejesha mkopo na wadogo zako nao waweze kunufaika!!!

ni kweli mkuu
 
wameniongezea mkopo nilikua nao kidogo sana!!big up to heslb

Elimu yako haijakusaidia,unasema ccm wamefanyaje? Wangapi wamekosa mkopo kwa sababu ya ufisadi wa baadhi ya wana ccm? Mkopo hautolewi na ccm bali ni kodi za watanzania wenyewe ambao mwisho wa siku wanadhurumiwa haki yao,open your mind and wake up!
 
Hongela kwa kuonja utamu wa serikali ya ccm wengi sana wanajua uzuri wa serikali ya ccm.
 
Elimu yako haijakusaidia,unasema ccm wamefanyaje? Wangapi wamekosa mkopo kwa sababu ya ufisadi wa baadhi ya wana ccm? Mkopo hautolewi na ccm bali ni kodi za watanzania wenyewe ambao mwisho wa siku wanadhurumiwa haki yao,open your mind and wake up!
Ungeweka wazi sababu zilizofanya wakose siyo kuropoka tu.
 
Ccm inapaswa iendelee kuongoza ila ifanyiwe marekebisho machache tu hakuna chama kingine chenye mlengo wa kusaidia watu bali ni kujinufaisha wao wenyewe tu.
 
Bora kuongozwa na jiwe kuliko ccm
 
Reactions: vry
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…