wakuu nashangazwa na tabia moja ya kutangaza na kusikitika sana ikitokea mwanamuziki ametutoka
huyu kasoloo kyanga alikuwa na hali ngumu sana kimaisha na hakuna hata mtu mmoja hasa kwa nyie mnaotangaza kwa bidii aliyejitokeza kumsaidia katika uhai wake
nashangaa sana unafiki kama huu utaisha lini
tulikuwa na moshi william naye ilikuwa hivyo hivyo makelele mengi baada ya kuondoka duniani
kuna wizara ya sanaa wao wanafanya nini kuwasaidia kimaisha hawa watu muhimu kabisa
ulimbukeni umewazidi na mavitambi ya taa za dunia
Waswahili na unafiki utatuweza,hata kwenye siasa utasikia nani ameacha pengo kuubwa na taifa sijui limemkosa mtu makini na ... misifa kibao,lakini alipokuwa hai hakuna yoyote aliyekuwa anamjali