Kuna Haja ya Kupima?

Kuna Haja ya Kupima?

Tesla Motors

Member
Joined
Nov 26, 2017
Posts
62
Reaction score
26
Habari za asubuhi Mdugu

nilishawahi kusex na mwanamke HiV positive nikapima baada ya miezi mitatu nikawa negative!
baada ya hapo sikuwahi kusex peku tena lakini pamoja na kutumia condom kwa ufasaha najikuta sijiamini yani nina hofu hata kupima tena! naogopa
je kuna haja ya kupima wakati nasex kwa kutumia condom?

U P D A T E S

Kuna watu wanauliza nilipima wapi? waheshimiwa nilipima katika hospitali kubwa tu ya kikanda na baada ya kuambiwa nipo sawa sikupewa ushauri wowote!
kwa maana baada ya kujua exposure nilipima baada ya week 8 negative nkarudia baada ya week zingine 4 jumla 12 bado ikawa negative!

tatizo linakuja nakuwa na hofu kwa maaana baada ya hapo nilshasex mara kadhaa japo kwa kutumia kinga kwa uangalifu.

Nipeni Maoni yenu
 
Uamuzi ni wako
 
Pima uzito ukikuta una kilo kuanzia 67.8 kupanda juu gawanya kwa idadi ya wapenzi wako ukipata jibu chini ya 30 jua UNAO.
 
hatua hii ndo mbaya sana kifikra maana nyege zote huukimbia mwili na kukuacha ukijilaumu kwanini ulisex!! kapime tu ili ujue ukweli aisee no way out jombaa!!

Nb: K ni tamu sana Ila ukifika wakati wa kupambana na hali yako ndo patamu zaidi
 
Habari za asubuhi Mdugu

nilishawahi kusex na mwanamke HiV positive nikapima baada ya miezi mitatu nikawa negative!
baada ya hapo sikuwahi kusex peku tena lakini pamoja na kutumia condom kwa ufasaha najikuta sijiamini yani nina hofu hata kupima tena! naogopa
je kuna haja ya kupima wakati nasex kwa kutumia condom?
Kama ulishawawi kukutana na mwanamke ambae ni HIV+ na ukapima baada ya miezi mitatu ukakuta ni negative(-),,,,, hapa napata mashaka kama ulipima katika kituo cha afya au ulijipima mwenyew baada ya kununua kipimo..(ningependa nifahamu)..

kwa nin nimeuliza ivo!!!!
swaka la kupima ukimwi ni jambo ambalo linarutubiwa na miongozo ambayo hutumia watalaam ambao washapewa semina nzima ya uenseshaji wa zoezi ilo ivyo kukupa wewe ushauri ulio mzuri juu ya case yako iyo!!!

lakin kwa jinsi ukivyouliza napata ukakasi kidogo kama walishindwa kukupa ushauri stahiki au ulipindisha pindisha maelezo au ulijipima mwenyew..
anyway ni ivi kirusi kikishaingia mwilini huwaga kuna hatua saba ambazo hupitia mpaja kujizalisha na kuenea kwenye damu ndani ya muda flani ambao kwa wastani ni baada ya miezi mitatu (angalizo mara nyingine mda huongezeka na kua zaidi ya miezi mitatu inategemeana mfumo wa mwili)..

ivyo sasa ili kujihakikisha kua huna maambukizi ni jukumu lako kwenda kituo cha afya na kupima tena kama utakua ni negative(-),,utarudi mara ya pili baada ya miez mitatu then kama ni negative(-).. utarud tena mara ya tatu baada ya miezi mingine mitatu... na hapo sasa kama utakutwa negative(-) baadhi itabidi uanze kuulinda mwili wako..
ila kama huko juu utakutwa positive(+) then utaanzishiwa dawa za kupumbaza na kupunguza makali ya ukimwi kitalaam tunazita Ant Retro Viruse drug(ARVs) maana muongozo mpya wa matibabu ya ukimwi chini ya wizara ya afya ni ONCE HIV(+) THEN START ARVS!!!
 
nilipima hospitali kubwa kabisa ya serikali wakanipa majibu kwamba ni negative na sikupewa ushauri hata kidogo
 
Pima mkuuu wala usihofu hao wadudu hawañaga akili nzur wanaweza kujificha hata mwaka mzm
 
Habari za asubuhi Mdugu

nilishawahi kusex na mwanamke HiV positive nikapima baada ya miezi mitatu nikawa negative!
baada ya hapo sikuwahi kusex peku tena lakini pamoja na kutumia condom kwa ufasaha najikuta sijiamini yani nina hofu hata kupima tena! naogopa
je kuna haja ya kupima wakati nasex kwa kutumia condom?

U P D A T E S

Kuna watu wanauliza nilipima wapi? waheshimiwa nilipima katika hospitali kubwa tu ya kikanda na baada ya kuambiwa nipo sawa sikupewa ushauri wowote!
kwa maana baada ya kujua exposure nilipima baada ya week 8 negative nkarudia baada ya week zingine 4 jumla 12 bado ikawa negative!

tatizo linakuja nakuwa na hofu kwa maaana baada ya hapo nilshasex mara kadhaa japo kwa kutumia kinga kwa uangalifu.

Nipeni Maoni yenu
Bwana we jiandalie mazingira mazuri huko uendako muamudu mungu wako, acha umalaya na achana na mambo mabaya.
 
Japokuwa ni ngumu ila nakushauri nenda kapime ili uzidi kujiamini sababu najua hapo hujiamini na ndio sababu umeshindwa kukaa nalo rohoni.

Piga moyo konde Mkuu uende ukapime ili upate uhakika zaidi.
Aliishapima akaambiwa hana sasa ana wasiwasi wa nini kupima tena au baada ya hapa alicheza rafu tena!
 
Back
Top Bottom