Ambalo ni jambo zuri,maana ndio kwenye hela nyingi..natamani tuviangalie vitu kwa pande mbili. Nakumbuka nilibahatika kuona mchanganuo wa mechi moja hizi za kawaida,Tff sijui walipata elf 22 nikashangaa Sana.Lakini nilielewa
Sent using
Jamii Forums mobile app