tatizo ni kwamba, haujui ubishi wa hao watu, wanatumia icho kama kigezo kwamba hawawezi kuguswa hata wakifanya lolote. hapa sheria inatakiwa kufuatwa kwa watu wote, walemavu kwa wasio walemavu. huwezi kumaproach rais iviivi bila utaratibu. kama umeshika bom je, ao jamaa wenye magwanda si watapoteza kibarua chao kuwa hawakuwa makini kumlinda mkuu wao?
kila mahali pana utaratibu wake, tukiishi bila utaratibu hapa duniani pangekalika? usipofuata utaratibu, unatakiwa kukubaliana na lolote litakalotokea. however, naamini kuwa, kwa walemavu, nafikiri walideserve special treatment. hapo polisi wanaweza kuwa walipitiliza.