Kuna haja ya kuwa na Expire date ya Ndoa!

Degelingi

Member
Joined
Apr 14, 2011
Posts
42
Reaction score
0
Kuna mzee mmoja amedai kuwa amechoshwa na tabia ya mke wake ya kudekeza watoto mpaka wanataka kuharibika.

Amesema anakelwa na mengi toka kwa wife wake hadi kuna siku aliamua kuchukua cheti cha ndoa na kuangalia kama kina expire date.

Hivi inawezekana kuweka exp date kwenye ndoa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…