Kabisa Mkuu.
Sema Waarabu wana roho za paka akianani. Sio kwa kupambana huko.
Nikiangalia jinsi Gaza ilivyosambaratishwa na kufanywa vifusi ingalikuwq ni watu wengine wangerudisha Tu mateka kisha wanakaa mezani na kuzungumza na Israel ili wamalizane. Ila jamaa bado wanapambana tu.
Nikiangalia jinsi Israel walivyomuua Kiongozi wa Hamas akiwa nchini Irani tena eneo la jeshi nilitegemea Irani amuogope Sana Israel na kukaa chini kujitafakari na kujipanga. Ila bado jamaa anatunisha msuli.
Nikiangalia jinsi Kiongozi wa Hezbollah alivyouwawa chini ya Ardhi almost 30Meter deep na kuuwawa Kwa makamanda wa Hezbollah nilitarajia jamaa wachutame na kumalizana na Israel. Ila ndio kwanza bado wanarusha makombora tuu.
Nikiangalia jinsi rockets na missile zinarushwa kwenda isarel zinavyozibitiwa na Israel na kusababisha maafa madogo basi nilitegemea jamaa warudi mezani maana hakuna impact yeyote kwenye jitihada zao za kuipiga Israel.
Kweli nimeamini Waarabu wana roho ngumu sana. Ndio maana ilikuwa rahisi hata kueneza Dini yao kwa Upanga.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.