Kweli mkuu Mbona Magufuli aliweza kwa Malinzi!Watumie hata techniques za kimafia yan
Ni kweli kama ameshatengeneza chaini kuanzia wilayani akaweka wajumbe wake basi anakuwa ameshamaliza mchezo.Watu wa mpira na wenye explosure ni wengi mkuu, ila Karia kajiwekea securities kubwa ya kushinda uchaguzi ujao.
Huu unaz ndiyo uliotufikisha hapa...tunataka kiongozi mwenye uchungu na soka la nchi hii na siyo kiongozi mpigaji!Wana Yanga mnateseka sana hata na vitu ambavyo havijasababishwa na Karia.
Au muombeni tena Jamal Malinzi agombee tena hicho cheo hapo TFF. Maana chini ya uongozi wake miaka yote Yanga ndio ilikuwa Bingwa.
Yanga mnaongozwa na viongozi wa Club wasiojielewa na kukosa Busara basi kilakitu mnaona mnaonewa na Karia.
Haya mambo ya kuingiza siasa kwenye utendaji yanaadhiri sana hata maendeleo ya nchi! Ukimchomeka mtu wa namna hii kwenye institution muhim kama hizi lazima aharibu, na kingine ni ile Ego kuwa mimi ni mwanasiasa na nmewekwa hapa na watu wakubwa hakuna wa kunitoa, anafanya mambo hovyohovyo, anatengeneza system yake ya upigaji humu, na taasisi inakuwa hati miliki ya kakikundi ka watu fulan badala ya kuhudumia wananchi.Hata waliopo wapo pale kwa sababu ya serikali kuweka mkono tatizo serikali inaweka watu kwa kigezo cha royality na connection kwa serikali bila kujali uwezo katika fani husika na hii inafanyika kwenye taasisi zote unazozijua wewe kama CWT, BAMITA, BASATA n.k...
kweli kabisa mkuuHaya mambo ya kuingiza siasa kwenye utendaji yanaadhiri sana hata maendeleo ya nchi! Ukimchomeka mtu wa namna hii kwenye institution muhim kama hizi lazima aharibu, na kingine ni ile Ego kuwa mimi ni mwanasiasa na nmewekwa hapa na watu wakubwa hakuna wa kunitoa, anafanya mambo hovyohovyo, anatengeneza system yake ya upigaji humu, na taasisi inakuwa hati miliki ya kakikundi ka watu fulan badala ya kuhudumia wananchi.
Tibohora hana uwezo wowote zaidi ya kubebwa na vyetiHata Dr. Tiboloa anaweza kuwa Rais bora wa TFF kuliko hawa ambao wanateua bodi hata kupanga ratiba za ligi hawawezi na wanalipwa pesa na wadhamin ila kulipa timu changamoto mfano Lipuli, waamuzi hawalipwi yaan ni bora liende.
Kwa jinsi wapenda mpira tunavyoumizwa, kuna haja ya serikali kuingilia kati katika uchaguzi ujao.
Tunajua jana TFF waliwaangushia jumba bovu serikali, kotokana na conflict of interest zao, sababu mazingira ya lile tamko lao lilionyesha dhahiri kama waliwatengenezea Bomu serikali liwalipukie wenyewe.
Sasa wapenzi wa mpira tumechoka na huu ujinga ujinga, tunaomba serikali uchaguzi ujao, watuwekee watu wenye weledi na uchungu na mpira wetu na wenye explosure kimataifa, mfano kama yule mmiliki wa Mbao aliyekuwa kocha kwenye vilabu vya England na akawa mkurugenzi wa michezo, akina Kali Ongala, Kina Mzee Oscar Koloso nk.
Hivi kwa akili yako raisi wa tff hawekwi na serikali? Lazima uwe ccm na unaponda wapinzani kama afanyavyo kariaWatumie hata techniques za kimafia yan
Katika uongozi wa Karia, Timu ya Taifa imefika AFCON, Vilabu vya Tanzania mara mbili vinatoa wawakilishi wanne. Sijajua hatua kama hii imewahi kutokea lini katika awamu zote za uongozi wa TFF na FAT. Acheni mpira uchezwe uwanjani ambapo kila mtu anaona timu nzuri na mbovusiku tukipata viongozi wa tff wasioweka unazi kwenye soka letu mpira wetu utafika mbali.