Lupweko JF-Expert Member Joined Mar 26, 2009 Posts 23,566 Reaction score 24,891 May 15, 2021 #21 kishumbaz said: Kwa jinsi wapenda mpira tunavyoumizwa, kuna haja ya serikali kuingilia kati katika uchaguzi ujao. Click to expand... Ungetaja kinachokuumiza, usijumuishe wengine
kishumbaz said: Kwa jinsi wapenda mpira tunavyoumizwa, kuna haja ya serikali kuingilia kati katika uchaguzi ujao. Click to expand... Ungetaja kinachokuumiza, usijumuishe wengine
Gwele JF-Expert Member Joined Jun 7, 2016 Posts 2,604 Reaction score 3,319 May 15, 2021 #22 Yaani wewe jamaa mawazo yako yapo kushoto kwelii yaani unataka serikali iingilie tena mpira kwa kutuwekea kiongozi Tff? Tena unaiomba kabisa serikalii duuh!
Yaani wewe jamaa mawazo yako yapo kushoto kwelii yaani unataka serikali iingilie tena mpira kwa kutuwekea kiongozi Tff? Tena unaiomba kabisa serikalii duuh!
78Kuku JF-Expert Member Joined Mar 31, 2021 Posts 562 Reaction score 756 May 15, 2021 #23 Nyie utopolo tuwaeleweje mara FIFA wanazuia serikali kuingilia mpira mara serikali iingilie uchaguzi wa tff mpka mnashindwa kueleweka.
Nyie utopolo tuwaeleweje mara FIFA wanazuia serikali kuingilia mpira mara serikali iingilie uchaguzi wa tff mpka mnashindwa kueleweka.