Abdalah Abdulrahman
JF-Expert Member
- Aug 29, 2019
- 222
- 202
Usafiri wa daladala sio mali ya umma wala watumishi wake (dereva na kondakta) sio watumishi wa umma, lakini wanakutana na abiria tofauti kwa kiwango kikubwa kuliko watumishi wengi wa umma wanavyokutana na watuWatumishi wa umma ndio wanaowahudumia wananchi,kasi ya ugonjwa wa uviko-19 inaweza kupungua kwa serikali kuwalazimisha watumishi wa umma kuchanja...
Kwa tulipofika sio hiari tena,kama tunataka watu wetu wawe salama ni lazima kila mtu achanje.Chanjo ni hiari acha UKUDA
Nimekutukana kimya kimya bonge la tusi, shwain we!!!Watumishi wa umma ndio wanaowahudumia wananchi,kasi ya ugonjwa wa uviko-19 inaweza kupungua kwa serikali kuwalazimisha watumishi wa umma kuchanja...
Chanjo haizuii watu kuambukizana ....ila barakoa.Watumishi wa umma ndio wanaowahudumia wananchi,kasi ya ugonjwa wa uviko-19 inaweza kupungua kwa serikali kuwalazimisha watumishi wa umma kuchanja...
Kwanini serikali inakataa wajibu endapo litatokea tatizo??Watumishi wa umma ndio wanaowahudumia wananchi,kasi ya ugonjwa wa uviko-19 inaweza kupungua kwa serikali kuwalazimisha watumishi wa umma kuchanja...
ulipofikia we na nani?Kwa tulipofika sio hiari tena,kama tunataka watu wetu wawe salama ni lazima kila mtu achanje.
Kukataa wajibu ni jambo la kisheria,kila dawa ina madhara yake na ni wazi kuwa hii kinga ina athari zake ambazo serikali haiwezi kukugaranti kuwa madhara yake itahusika.Kwanini serikali inakataa wajibu endapo litatokea tatizo??
Kwa tulipofika sio hiari tena,kama tunataka watu wetu wawe salama ni lazima kila mtu achanje.