Amavubi
JF-Expert Member
- Dec 9, 2010
- 30,156
- 13,258
Wahenga wanasema hakuna masika yasiyokuwa na mbu, kwa haya yanayotokea miongoni mwetu si vibaya kufanya tafakuri ya mustakabali wa yote haya...yamkini kuna wengi ambao ndoa zimevnjika, mapenzi yamekoma,wakosa viungo mbalimbali au kujeruhiwa kiakili, kiuchumi, kimwili, na au kisaikolojia kutokana na simu aidha kwa wivu au kwa hisia, kwa kuwa hii ni kama changamoto mpya ndani ya mahusiano yetu, wadau hamuoni kwamba kuna haja ya kuwa na tafakuri tunduizi katika hili?