Nehemia Kilave
JF-Expert Member
- Jan 9, 2022
- 1,414
- 3,118
Wana mpango wa kujenga mpya utakaomilikiwa na hizo timu.
Uwanja wanaotumia Ac milani na inter wa stadio Giuseppe mezza una milikiwa na jiji
San Siro inamilikiwa na Manispaa ya Milan, sio na vilabuWaige kwa Ac Milan na Inter Milan ,
Hata ule Lazio na Roma pia ni wa jiji.
Uwanja wanaotumia Ac milani na inter wa stadio Giuseppe mezza una milikiwa na jiji
Halmashauri za wilaya na majiji nazo zilitakiwa kujenga viwanja vya soka ili hizi timu zitie nguvu kwenye kujenga viwanja vya kisasa vya mazoezi.Yanga na Simba waondoe tofauti zao kwa muda wajenge Uwanja mkubwa sana na wautumie pamoja .
Waige kwa Ac Milan na Inter Milan , Birmingham city na Coventry, Lazio na Roma na vilabu vingine ....ifike mahali waone aibu .
Soma Pia: Yanga kujenga Uwanja wa kisasa eneo la Mto Msimbazi!
punguza bangi,yanga tunajenga uwanja wetuYanga na Simba waondoe tofauti zao kwa muda wajenge Uwanja mkubwa sana na wautumie pamoja .
Waige kwa Ac Milan na Inter Milan , Birmingham city na Coventry, Lazio na Roma na vilabu vingine ....ifike mahali waone aibu .
Soma Pia: Yanga kujenga Uwanja wa kisasa eneo la Mto Msimbazi!
Thiiimbaaaa 5imba Guvu Moya watauroga aka kuchoma moto.Yanga na Simba waondoe tofauti zao kwa muda wajenge Uwanja mkubwa sana na wautumie pamoja .