mwakani naolewa
Senior Member
- Jul 25, 2024
- 148
- 426
Serikali itazame hili suala kwa jicho la tatu, ukatili unaoendelea katika jamii ni unyama wa hali ya juu, watoto wadogo kubakwa na kulawitiwa paka kufa (mtoto wa miezi sita DODOMA), mauaji ya binadamu(Mganga aliyepatikana na miili ya watu aliowazika hai), watu kupotea katika mazingira tatanishi, Mauaji ya Albino(mtoto ASIMWE),
Wanawake kutendewa ukatili wa kijinsia,(binti wa yombo dovya), ukatili unaoendelea katika jamii unatosha kwa serikali kupitisha hukumu ya wahalifu hawa wa ukatili (cold blooded murders) wasiishie kuhukumiwa tu kifungo cha maisha na baadae kutoka gerezani kwa msamaha wa Rais , wanastahili hukumu ya kifo kama wanavyotelekeza nchi zingine duniani kwa wahalifu wa namna hii. kwa sababu wanakua wamedhulumu nafsi za watu, wamekatisha malengo ya watu, na wamekatisha uhai vilevile.
Soma Pia:
NB, ni mawazo yangu tu