TRA wanafanya kazi kubwa sana kuelimisha na kupambana na watu ili walipekodi/wasikwepe kodi
Hata hivyo changamoto kubwa ni watu kukosa Elimu ya kodi tangia huku chini.
Muarobaini wa Kukwepa kodi na mikopo umiza ni kuelimisha watu kuanzia huku chini.
Napendekeza;
1. Waongeze topic ya umuhimu wa kulipa kodi kwa hiari kwenye somo la civic & moral
2. Waongeze topic kwenye Hisababati ya mahesabu ya kodi (VAT) nk kwani ni marahisi/yanafundishika
3. Yote hayo yatawezekana kama wata ajiri waalimu wa Hesabu kwani bila hivyo, hilo halitatekelezeka.