Kuna haja ya wasomi wetu wapate elimu ya mikataba au elimu ya uchumi

Kuna haja ya wasomi wetu wapate elimu ya mikataba au elimu ya uchumi

Covax

JF-Expert Member
Joined
Feb 15, 2021
Posts
10,198
Reaction score
35,323
Haiwezekani kampuni iwakeze roughly $1trion kwenye uchumi wako wenye GDP $54bn wenye annual budget close to $2bn mtu afunge mitambo na mifumo yake ya kimataifa worthy $500m robo ya bajeti yako kwa mwaka, uje umuwekee mda eti miaka 30 au 20 ya mkataba wakati hata hiyo miaka 20 au 30 turnover ya GDP yako hata nusu haifiki kiasi cha direct investment yake, unskua wizi huo.

Kama hatujui masual ya internatinal investment tusinge muita DP world kwasbb anacho wekeza ni halali na huge investment, hamna wizi wowote hata ingekua kampùni ya wazungu kwa hiyo investment unge kua open end. Kupinga huo mkataba nikuonyesha kiasi gani tuna wanasiasa na wasomi ambao ni ignorant.
 
Back
Top Bottom