Kuna hali fulani ya unyonge imetawala, sijui kwanini hata

Kuna hali fulani ya unyonge imetawala, sijui kwanini hata

Ngoja tusubiri majibu kutoka kilingeni kama ulivyo carbon copy😅
 
haswa wale walio kuwa wakidhani Mama ni Mpole na dhaifu wakidhani hawezi kug'amua upuuzi wao.

Sasa amewagundua watendaji wa kweli na wanafiki.

Unafiki na uzandiki ni kitu kibaya sana.

Mnafiki na mzandiki hafai kuwa hata kuwa kiongozi wa familia.

Mama anaendelea kuwabaini.

Macho makali yanafika kila pembe, Kila wizara, kila ofisi ya umma kila mtumishi.

Mama Samia Rais wetu tuko pamoja nawe, pia tutatoa ushirikiano kuwabaini watendaji mizigo au ambao wanazuga kwa nia ya kukwanisha serikali.
 
Human Emotions ni very complex, labda wanawaza Rivers united ilikuwa Liverpool.
 
Bwana misosi anaimbaaa nitoke vipiii....nitoke vipii
 
Tuko kwenye awamu ya timu shindani kuelekea 2025. Ni mwendo wa kuwindana na kukamiana

Timu ziko mbili Pwani ya Kiwengwa(wazee wa beach Kidimbwi na Wabara Incorporation Ltd (Wazee wa genge)

Ni wakati tunaelekea half time Pwani ya kiwenga wamepiga 3bila. Waliwaotea wazee wa genge[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]

Tukirudi mapumziko mtanange utaanza upya! [emoji23]
 
Nimeangalia hata body language zao inaonyesha wapo kimwili na mama ila kiroho wapo mbali naye
 
Tuko kwenye awamu ya timu shindani kuelekea 2025. Ni mwendo wa kuwindana na kukamiana

Timu ziko mbili Pwani ya Kiwengwa(wazee wa beach Kidimbwi na Wabara Incorporation Ltd (Wazee wa genge)

Ni wakati tunaelekea half time Pwani ya kiwenga wamepiga 3bila. Waliwaotea wazee wa genge[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]

Tukirudi mapumziko mtanange utaanza upya! [emoji23]
Mzee wa Pwani alipona busha?
 
Niko hapa muda fulani naangalia TBC kwa kinachoendelea kwenye zoezi la kuapisha viongozi wapya Dodoma. Kiukweli naona viongozi walioongea naona wengi wao hawana ule uchangamfu wa usoni.kuna Kaunyonge fulani miongoni mwao I don't know what's wrong

Copy aione Mshana Jr
Kwa raia au Mwananchi wa kawaida nawajali nini? Au kuwa wahurumia Je, wao wanakuhurumia?

Sisi tuendelee uwajibikaji na kujenga. Wao watabadilishana weeee watatukuta mbele huko.
 
Sasa kama wanajiona wanyonge si waachie ngazi halafu ikiwezekana wajinyonge kabisa ili wakaungane na mungu wao.
 
Back
Top Bottom