REJESHO HURU
JF-Expert Member
- Mar 6, 2014
- 5,283
- 11,558
Serikali yenu haina pesa pesa zipo kwenye mabegi ya watu ndani mkiambiwa serikali imeferi hamuelewei hata pale ccm walipoanzisha harambee mliona mzaha ila ndio ukweli pesa hazipo zipo mifukoni kwa watuDuuuh hatari hii kwann imetokea
Sitofahamu imebukaa baada ya Halmashauri kadhaa nchini watumishi kutopata mshahara ambapo serikali imelipa mishahara ya watumishi siku ya tarehe 24/09/2025 lakini mishahara mekuja na manadiliko ambayo hayaeleweki
1. Salary advance kwa wtumishi mishahara inayopitia CRDB wamepunguziwa kiwango gafla
2. Wateja wa NMB baadhi ya Halmashauri mpaka sasa mishahara hawajapata wapo kuambiwa tu wajaze tarifa zao binafsi form kibao
MY TAKE
WATUMISHI JIANDAENI KISAIKOLOJIA MDA SI MREFU MISHAHARA ITARUDI ZAMA ZILE MISHAHARA WA MWEZI OCTOBA UNAPATA NOVEMBER KATIKATI AU USIPATE KABISA KWAIYO JIANDAENI KWA MABADILIKO JAPO OCTOBA MNATIKI
acha kuzua taharuki zisizo na maana. sasa watu wapack pesa kwenye mabeg kwa lipi hasa? kama ww ni mfatiliaji basi haya mambo ya kupack pesa kwny mabag ungeyasema mwaka 2015/2020 ni sawa ila sio sasa. msimu huu, hakuna tishio lolote la kumfanya mtu akae na pesa ndani. mpaka sasa raisi anafahamika and everything is openSerikali yenu haina pesa pesa zipo kwenye mabegi ya watu ndani mkiambiwa serikali imeferi hamuelewei hata pale ccm walipoanzisha harambee mliona mzaha ila ndio ukweli pesa hazipo zipo mifukoni kwa watu
Andamana sasaHabari hii imekaa kinoko noko
Habari hii imeletwa kiudaku udaku
Habari hii imeandikwa kiuchochezi chochezi