Doto12
JF-Expert Member
- Nov 2, 2023
- 640
- 1,141
Kiuhalisia mfumo huu ulipaswa uwe unapandisha score automatically baada ya mtumishi kupandisha asilimia zake na mkuu wa kitengo ku approve.
Sasa badala yake kunamtu amekaa amewekwa awe anapandisha score baada ya approval ya mkuu wa unit.
Serikali hapa imebugi human akikaa sehem lazima anapendelea. Ana madhaifu, wkt mwingine hata jina tu linamfanya ampe score ya juu au anyime alama stahili.
Muliotengeneza huu mfumo ess. Mulipaswa kuweka code zenu zimpe alama mtu automatically baada ya kujaza kazi zake.
Halmashauri hizo zinajijua