Elections 2010 Kuna harufu ya Kuchakachua????

komkya

New Member
Joined
Nov 1, 2010
Posts
1
Reaction score
0
😛eep: Ni masikitiko makubwa kwamba bado watu wanafikiri mbinu za kuchelewesha matokeo zinaweza kusaidia katika zoezi la kuchakachua kuza 2010??? jamani watu wameamka uzingizini acheni umma uhamue nani awaongoze au la!!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…