Kuna harufu ya Upangaji wa matokeo gemu ya Simba Vs Coastal

Kuna harufu ya Upangaji wa matokeo gemu ya Simba Vs Coastal

bryan2

JF-Expert Member
Joined
Jun 8, 2016
Posts
3,323
Reaction score
4,679
Yes hakuna anayebisha Coastal wagosi wa kaya waja leo waondoka leo ni tawi la Simba, Simba wakiwa wanauhitaji wa magoli yoyote au pointi tatu mbele ya Wagosi andika vema lazima malengo yao yatimie.

Ukiangalia gemu ya leo matokeo ya 3-0 ni kama gemu ilikua ishachezwa nje ya uwanja walibakisha ndani ya uwanja tu Simba wapate chao, wachezaji wa coastal wamecheza kwa maelekezo maalumu haya magoli matatu ya Simba sio kwamba yalikua yamepangwa yalikua yanatakiwa magoli zaidi ya 3 sema tu wakahisi mchongo utasanukiwa.

Coastal tawi la Simba rais FAt naye Simba huku akiwa na Hisa Coastal fumbua fumbo mwenyewe, hawa coastal walishawahi pigwa goli nane na Simba anahojiwa Mgunda anafurahi tu tena anasema nashukuru wachezaji wangu wamepunguza idadi ya magoli walikua wafe nyingi.

Ni wakati wa FIFA kuanza kulichunguza soka letu kwa ukaribu sana soka letu linakua soka letu linawachezaji wa mataifa mbalimbali mwenye tabia tofauti plus makocha ni rahisi sana wachezaji au makocha kuuza gemu na kupanga matokeo bila kusahau makampuni ya ubashiri.

Suala la kujiuliza hakuna gemu ya Simba ambayo haina lawama.
 
Yes hakuna anayebisha Coastal wagosi wa kaya waja leo waondoka leo ni tawi la Simba, Simba wakiwa wanauhitaji wa magoli yoyote au pointi tatu mbele ya Wagosi andika vema lazima malengo yao yatimie.

Ukiangalia gemu ya leo matokeo ya 3-0 ni kama gemu ilikua ishachezwa nje ya uwanja walibakisha ndani ya uwanja tu

Suala la kujiuliza hakuna gemu ya Simba ambayo haina lawama.
Kumbuka hata utopolo walishakula goli 6 na 5! Kumbuka Horoya alikula 7.

Lakini hata hao walioshinda 5 tano kabla ya jana, mechi mbili hawajaona kitu kwa mnnyama.Wakati mwingine mpe heshima yake tu.Acheni kulalamika
 
Una hoja usikilizwe
IMG_8021.jpeg
 
Yes hakuna anayebisha Coastal wagosi wa kaya waja leo waondoka leo ni tawi la Simba, Simba wakiwa wanauhitaji wa magoli yoyote au pointi tatu mbele ya Wagosi andika vema lazima malengo yao yatimie.

Ukiangalia gemu ya leo matokeo ya 3-0 ni kama gemu ilikua ishachezwa nje ya uwanja walibakisha ndani ya uwanja tu Simba wapate chao, wachezaji wa coastal wamecheza kwa maelekezo maalumu haya magoli matatu ya simba sio kwamba yalikua yamepangwa yalikua yanatakiwa magoli zaidi ya 3 sema tu wakahisi mchongo utasanukiwa.

Coastal tawi la simba rais FAt naye Simba huku akiwa na Hisa coastal fumbua fumbo mwenyewe, hawa coastal walishawahi pigwa goli nane na Simba anahojiwa Mgunda anafurahi tu tena anasema nashukuru wachezaji wangu wamepunguza idadi ya magoli walikua wafe nyingi.

Ni wakati wa FIFA kuanza kulichunguza soka letu kwa ukaribu sana soka letu linakua soka letu linawachezaji wa mataifa mbalimbali mwenye tabia tofauti plus makocha ni rahisi sana wachezaji au makocha kuuza gemu na kupanga matokeo bila kusahau makampuni ya ubashiri.

Suala la kujiuliza hakuna gemu ya Simba ambayo haina lawama.
Taja timu ambayo imecheza ligi kuu bila ya kufungwa na Simba kuanzia goli 4
 
Nachojiuliza kwanini wadhamini wa Yanga, Singida, Namungo, na Coastal wafanane. Ni kawaida mdhamini mmoja anaweza kudhamini timu zaidi ya moja lakini wadhamini wawili au watatu hawawezi kudhamini timu zinazofanana
 
Ngoja tusuburi game ya Yanga na team ya waziri ya fedha tuone
 
Back
Top Bottom