bryan2
JF-Expert Member
- Jun 8, 2016
- 3,323
- 4,679
Yes hakuna anayebisha Coastal wagosi wa kaya waja leo waondoka leo ni tawi la Simba, Simba wakiwa wanauhitaji wa magoli yoyote au pointi tatu mbele ya Wagosi andika vema lazima malengo yao yatimie.
Ukiangalia gemu ya leo matokeo ya 3-0 ni kama gemu ilikua ishachezwa nje ya uwanja walibakisha ndani ya uwanja tu Simba wapate chao, wachezaji wa coastal wamecheza kwa maelekezo maalumu haya magoli matatu ya Simba sio kwamba yalikua yamepangwa yalikua yanatakiwa magoli zaidi ya 3 sema tu wakahisi mchongo utasanukiwa.
Coastal tawi la Simba rais FAt naye Simba huku akiwa na Hisa Coastal fumbua fumbo mwenyewe, hawa coastal walishawahi pigwa goli nane na Simba anahojiwa Mgunda anafurahi tu tena anasema nashukuru wachezaji wangu wamepunguza idadi ya magoli walikua wafe nyingi.
Ni wakati wa FIFA kuanza kulichunguza soka letu kwa ukaribu sana soka letu linakua soka letu linawachezaji wa mataifa mbalimbali mwenye tabia tofauti plus makocha ni rahisi sana wachezaji au makocha kuuza gemu na kupanga matokeo bila kusahau makampuni ya ubashiri.
Suala la kujiuliza hakuna gemu ya Simba ambayo haina lawama.