Gift mzalendo
JF-Expert Member
- Dec 13, 2019
- 1,856
- 2,417
Hiyo ni tahadhari naitoa mapema kabla ya mkutano mkuu wa chama Chadema .
Leo imeshuhudiwa vurugu kubwa kwenye Baraza la vijana baada ya kutokuelewana juu Posho zao .
Chama kiweke wazi juu ya bajeti ya mkutano mkuu wa chama , Kama haikuwepo hakukuwa na haja ya kupitisha uchaguzi
Na Kama imelazimu Basi waseme kiasi kinachopelea wazalendo na wanademokrasia watachangia.
Soma Pia: Mjumbe wa mkutano mkuu BAVICHA alilia posho ya kujikimu, 'tuliambiwa tutalipwa ila hadi sasa bado, kwa hali hii tunaweza kuepuka rushwa?'
Hii tahadhari ni muhimu na ipewe kipaumbele maana sehemu wajumbe wanaanza kujaribiwa kwa Rushwa
Pia ikizingatiwa simu iliyovuja ya kiongozi wa Chadema akitaka kujua msimamo wa mjumbe mapema , anaweza kumuweka kwenye list ya watakaokosa Posho
Au wanyime wote lakini kuna ambao Wamepewa zingine kwa mlango wa nyuma