Infantry Soldier
JF-Expert Member
- Feb 18, 2012
- 15,892
- 16,476
- Thread starter
-
- #101
Yaaah, that's it. Umasikini ni kitu kibaya sanaYah i remember Sajuki
Mkuu, kuna watu wanakuwa hawana pesa kipindi cha ugonjwa au hawakuwa na taarifa kwamba mtu fulani anaumwa. All in all, yote tumuachie Mungu kwa maana ndiye muweza wa yote.Kuna kuitumikia mali na mali kututumikia sisi...
Kama sherehe tunatumia mamillions ya pesa,hvyohvyo tunajibana tuchange tusherehekee tule bata....
Bado wale wanaoonga majumba,simu,gari n.k
Sasa wewe unashangaa mtu kuuza vitu kwa ajili ya matibabu....jiandae kushangaa wale wanaotoa michango sku ya msiba kuliko siku za kuugua mgonjwa.
Hakika mkuuhili nalo ni la kuzingatia
Kama assets zipo nyingi unauza tu mkuu. Kama una nyumba 3 unauza moja ila kama unayo hiyo hiyo moja hapo ndio kasheshe.Eeh mkuu, yani mambo haya ni mitihani ya kimaisha. Uwe na asset halafu maza anaumwa ile mbaya na anatibika eti useme siwezi kuuza tv nikamtibu bi. mkubwa. Halipo hilo!
Ni noma sana lakini ishu ya Cancer kama hiyo ndo Nyumba pekee mnayo na una familia inaishi humo bhasi sio Busara kuiuzaa maana hata mkipata Bili 100 mgonjwa wa Cancer haponi hasa kwa Nchi kama Tanzania yani wengi wakishaanza chemotherapy bhasi jua hana Muda mkuu akiishi sana mwaka mmoja. Japo kumuacha mgonjwa afe sababu hakuna hela nayo sio sahihi.Kama assets zipo nyingi unauza tu mkuu. Kama unanyumba 3 unauza moja ila kama unayo hiyo hiyo moja hapo ndio kasheshe
Hakikaa Boss...!!Kwa kifupi tu tuseme,
'Mungu atuepushe yasitufike'.
Mambo mazito sana haya mkuu.Hakikaa Boss...!!
Achaa tu unaweza uza hadii boxer! Yasikie kwa jiranii tu, hasa dawa za cancer bei zake sio poaaa.Mambo mazito sana haya mkuu
Kuna stage ikifika daktari anasema hapa haiwezekani tena. Familia za kipato cha chini unakuta nyumba moja wanakaa watu 10Na Je Kama ugonjwa unatibika lakini lazima nyumba na magari viuzwe?
Hata bila kusema mbona reality inaonekana kwa macho tu. Watoto wako wadogo wapo darasa la nne watakuwa wageni wa nani?Je Ungekuwa unaumwa Wewe UNGEYASEMA HAYA.
Acha nife wanangu wabaki na urithi?
Nikweli... Lakini huyo Ni doctor mmojaKuna stage ikifika daktari anasema hapa haiwezekani tena. Familia za kipato cha chini unakuta nyumba moja wanakaa watu 10
Mimi kama baba na kazi yangu ni kuuza chips na niliijenga nyumba kwa kubangaiza miaka 9 nyumba yenyewe hiyo hiyo moja tunakaa watu 10 huko Mbagala leo hii mtoto wangu anaumwa na daktari anasema hawezi kupona nitafanya nini tena zaidi ya kumuachia Mungu kwa maana ndiye muweza wa yote?Nikweli... Lakini huyo Ni doctor mmoja
Ndo Maana wanaamini doctor mwingine anaweza kuwa na majibu tofauti..
.
Imagine mwanao anaumwa... Ungesema acha afe... Nyumba Ni urithi wa wengine
HayaMimi kama baba na kazi yangu ni kuuza chips na niliijenga nyumba kwa kubangaiza miaka 9 nyumba yenyewe hiyo hiyo moja tunakaa watu 10 huko Mbagala leo hii mtoto wangu anaumwa na daktari anasema hawezi kupona nitafanya nini tena zaidi ya kumuachia Mungu kwa maana ndiye muweza wa yote.
Hii ya kesi za mahakamani usilinganishe na suala la "life & death" kwa maana mtu akifungwa si mwisho wa siku atatoka tu hata kama baada ya miaka 10.Hii mentality...nitawaachaje warithi...
Kuna ndugu yangu mumewe Ana kesi hataki kuuza asset za familia eti watoto watakosa urithi[emoji3][emoji3][emoji38]...watoto wa miaka 11..6.. 1
Bora mumewe afungwe kuliko watoto wakose urithi? [emoji849][emoji849][emoji849]
Kama watoto ni wakubwa na wanajitegemea sawa, ila ndio una wale wa shule za msingi, secondary na kibanda ni hicho hicho na Dr kasema hapa nikumwachia Mungu nyie mnapalangana kuuza mkatafute wataalaamu wengine nadhani busara inatakiwa hapa....Tusiongee tu kuuza....tunatafuta na kujijenga kwa ajili ya future generation na sio kingine.Hii mentality...nitawaachaje warithi...
Kuna ndugu yangu mumewe Ana kesi hataki kuuza asset za familia eti watoto watakosa urithi[emoji3][emoji3][emoji38]...watoto wa miaka 11..6.. 1
Bora mumewe afungwe kuliko watoto wakose urithi? [emoji849][emoji849][emoji849]