Kuna hatua ugonjwa ukifika ni lazima busara itumike. Mnauza mali zote kulipia matibabu, ndugu anakufa kisha familia inabaki na umasikini wa kutupwa

Kifo ni fumbo mazee, tusiongee Sana , roho haina spea , Acha watu wapambanie uhai to the maximum...imagine mmezingua kumpeleka mzee India kisa doctor fulan kawamegea Siri ya urembo kuwa mwamba hapa lazima avute.... Kwel mzee mvi zake zinashuka chini ,badae mnapata story kwa jamaa wengine ambao mzee wao alikuwa na tatizo Hilo Hilo ila wakajichanga wakampeleka mzee India akapona na sasa yupo home japo Hali yake sio poa saana ...aisee majuto ya hapo siyo ya nchi hiii....

Ndo mana Yesu alikufa msalabani ili kukabiliana na kifo , Mauti ina nguvu asikwambie mtu .....bas Tu tumeumbiwa kusahau
 
Kila kitu kwa maana gani wakati ushasema cant buy life ?

Au buying life sio katika hivyo vitu mkuu ?
Fanya ufanyalo lkn kufa utakufa kufa ni lazima kufa ni destur sasa inakiwekaje ktk ivo vitu na wakat lazima kila nafsi ionje maut
 
Fanya ufanyalo lkn kufa utakufa kufa ni lazima kufa ni destur sasa inakiwekaje ktk ivo vitu na wakat lazima kila nafsi ionje maut
Kwa hiyo tunakubaliana kwamba pesa sio kila kitu kwa sababu haiwezi kuzuia mauti mkuu na mauti nayo ni kitu ?

😀😀😀
 
Kwa hiyo tunakubaliana kwamba pesa sio kila kitu kwa sababu haiwezi kuzuia mauti mkuu na mauti nayo ni kitu ?

😀😀😀
Haya mambo ni mazito sana mkuu ingawa pesa ni kitu muhimu kuwa nacho katika maisha
 
Kwani kaburini tunaenda na mali? Pigania uhai hata kama utabakiwa na sifuri. Kuna watoto kibao wanazaliwa wazazi hawana nyumba na MUNGU huwatafutia njia.
 
Watu wanafanyiwa chemo wanaishi zaidi ya miaka 10 wengi nawafahamu usiishi kwa kukariri .
 
Kama zinauzwa mali za mgonjwa haina tatizo watakaobaki watafute zao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…