Kuna haya maneno ukiona unajibiwa tambua wanajua wanacho tenda ni kweli

Fbn

JF-Expert Member
Joined
Jul 31, 2016
Posts
15,749
Reaction score
37,420
Hapa nchini kwetu haya maneno ni majibu ya watawala na wenye mamlaka ukieleza au kuhoji majibu yao:

Tuoneshe?.
Una ukweli?.
Thibitisha ?
Umetumwa ?.
Sikuelewei ?
Una maanisha nini?.
Wewe kama ni nani?.
Unapataje ujasiri ?.
Embu nyamaza.
Subiri kwanza.
Ongea wewe sasa.
....
 
Taaruki!
Upotoshaji
Chadema
Ufafanuzi
Wanaharakati uchwara
 
Haya ni maneno yanayotumiwa na maCCM kutuziba midomo tunaotetea maslahi na rasilimali za taifa.
 
Reactions: Fbn
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…