Kuna hii aina mpya ya upigaji chupingi inayong'ara

TheDreamer Thebeliever

JF-Expert Member
Joined
Feb 26, 2018
Posts
2,490
Reaction score
3,584
Habari wadau Kuna hii aina mpya ya upigaji chupingi inayong'ara ngara inakuwaje.??

Gharama zake zipoje kwa Square meter.??
Mahitaji (materials) zinazohitajika .
mwenye sample itapendeza akiweka picha tukaangalia design bora.
 

Attachments

  • FB_IMG_16068485709627243.jpg
    46.2 KB · Views: 39
  • FB_IMG_16068485908854760.jpg
    8.2 KB · Views: 29
Hyo inaitwa kale drewa.orign yake ni uturuki.ndoo ya kilo25 inauzwa 110,000 unapaka sq mita 5
 
Drewa hiyo..Vipo kama mchanga unachanganya na maji yake special,, unakua unatumia Galamala kama una'skim White cement
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…