Mayunga234
JF-Expert Member
- Feb 17, 2017
- 1,725
- 1,995
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] team domokaya kwa kulazimisha mambo, wamepofushwa na mahaba lol
Tozo ziendelee aisee.
Zuchu umekuja kuangalia upepo wako jf kama unafuatiliwa huku si ndioLeo Nimekutana na battle ya Zuchu na Tems cz wote wamewekwa kwenye category moja za kuania tuzo
Ila Ushabiki tuweke pembeni Zuchu kwenye kuimba aha Mashallah anajua yupo vizur kweny kila angle
Ila kwa Tems cz ni Mnaigeria na kabebwa sana na wizkid ila hana maajabu yeyote
Zuchu anafatiliwa na dunia nzima...ndio number one female artist in Africa kwa sasa.Zuchu umekuja kuangalia upepo wako jf kama unafuatiliwa huku si ndio
Wabongo tunapenda kulinganisha sometimes mpaka kufikia baadhi washikadau na media kuchonganisha na kuchagua upande.Leo Nimekutana na battle ya Zuchu na Tems cz wote wamewekwa kwenye category moja za kuania tuzo
Ila Ushabiki tuweke pembeni Zuchu kwenye kuimba aha Mashallah anajua yupo vizur kweny kila angle
Ila kwa Tems cz ni Mnaigeria na kabebwa sana na wizkid ila hana maajabu yeyote
Beer tamuZuchu anafatiliwa na dunia nzima...ndio number one female artist in Africa kwa sasa.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Tozo ziendelee aisee.
Mtoa mada ili ueleweke vizuri hapo mtoe zuchu umuweke hata anjella au yule abby chams... Maana kwa jinsi WCB inavyochukiwa humu utaambulia maumivu tu ya kuitwa we ni chawa au msukule
Hahahaaaah! Uzuri ni kwamba hujatumia nguvu kubwa kuonesha ubovu wa akili yako ulipo... Na hongera pia kwa kujielezea katabia kako!Labda wewe ndo unayoichukia hivi utakuwa na akil timamu kweli kuchukia taasisi ambayo hata ugeuze tako vipi huwezi kumiliki acha ubwege kashone boxer hiyo iliyochanika
Wizkid kafunikwa na Tems kwenye hii nyimboTerms ukubwa wake unatokana na ukubwa wa wimbo alioshirikishwa na Wizkid tu
Na Zuchu ukubwa wake unatokana na yeye kua kwenye lebo ya WCB..bishaTerms ukubwa wake unatokana na ukubwa wa wimbo alioshirikishwa na Wizkid tu
Unasema?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Zuchu anafatiliwa na dunia nzima...ndio number one female artist in Africa kwa sasa.