Kuna Hii Battle Ya ZUCHU vs TEMS

Tems mpaka Justin Bieber anataka kollabo naye huyo chuchu Nani anamjua nje ya pwani??
 
Vijana wa sinza huwa mnatia aibu sana
Ndio maana huwa mnakanyagwa
 
Ndio umfananishe na zuchu
Tena nazani zuchu ni mkubwa kuliko huyo Terms, tatzo letu wabongo tunaoenda kwwnda na trends sababu terms kafanya kazi na wizkid ambaye n msanii mkubwa basi ule ukubwa wa wizkid tunataka kimpa na terms huohuo ukubwa lakin sivyo ilivyo, na wengi wetu tumemjua kupitia hyo collabo
 
Muda ni mwalimu mzuri tu...
 
Lavalava na Queen Doreen si wapo WCB mbona hawawi wakubwa........?
Sasa hapa tunamzungumzia lava lava na quuen Darleen?

Sawa Basi kitu gani kinamfanya Zuchu awe Bora kuliko lava lava na quuen Darleen?
 
Huyo Zuchu nae akipewa Wizkid ataimba nini? Yalaa...Yalaa au?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…