Kuna Hii Battle Ya ZUCHU vs TEMS

Sehemu gani nimesema hafiki popote?

Kwani ukisikiliza ya ndani ya nje hutakiwi kusikiliza?
 
Shida tunapambazwa na ukubwa huu wa kibongo tunadhani una apply worldwide..Tems tayari ameondoka mkuu,,usifanye maksihara kuwa featured na Drake.
Nje ya Collabal alizofanya, sioni maajabu zaidi kwa terms.
 
kWanZa ukweli usemwe kwenye essence tems kamfunika wizKid kinoma. ..Yani tems ndo kaubeba ule wimbo
 
Tems kitu gani bana! Mi ni mzalendo nasapoti cha nyumbani hata km ni kibovu... Na ikitokea timu yangu ya taifa ikafuzu wedikapu nitaachana na spain kwa muda... Sasa kwanini isiwe kwa zuchu? Hata km angekuwa anachuana na rihanna yule wa kwny peak bado ningebak na zuchu kwa kila hali na mali
 
Sema kizuchu nikisikilizaga ile YALAA nadindisha kinoma..kitoto kimeanza kuiva kwenye sekta ya soft porn music kutoka pale usafini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…