jane_000
JF-Expert Member
- Feb 9, 2012
- 547
- 43
hili kundi la bongo dar es salaam walikuwa wakitoa elimu ya bure japo kuwawalikuwa wanazalilisha jesh la polis kushindwa kumshika yule tapel dude sijui wamepotea wapi wasanii wake walikuwa dude,flora,baki na chidy kuna mtu ana data zao nalipenda sana hata wapi naweza kuwapata hata moja munipe simu kama kunamtu anawajua basi pm