Naomba namba za hawa wasanii au wapi nitawapata serious deal
Sitaki kanumba hawajamaa wanaakili kwelli na vile vipindi vyao naweza kuwapa dealNamba zao sina nenda clouds fm mjengoni wanazo namba za wote hao,muulize zamaradi ukifika atakupa namba za wote hao wasanii unaowataka hadi namba ya kanumba.
zamarad mimi demu ataniletea mapozi