Hazchem plate
JF-Expert Member
- Feb 25, 2011
- 11,048
- 15,465
Nilijua ni sawa na kudanga. Kumbe sio...Sasa hivi kila kona ukipita utasikia "Damshy" Si makanisani wala Misikitini kote huko utasikia "DAMSHY". Si Wamama wala Wababa kila mtu anasema "DAMSHI"
Hivi hili neno limetoka wapi na maana yake ni nini?????? Maana naona linanikera na huku silielwei
Maana ya neno kudamshi ni kupendeza au kuendana na mazingira.Sasa hivi kila kona ukipita utasikia "Damshy" Si makanisani wala Misikitini kote huko utasikia "DAMSHY". Si Wamama wala Wababa kila mtu anasema "DAMSHI"
Hivi hili neno limetoka wapi na maana yake ni nini?????? Maana naona linanikera na huku silielwei
itakuwaje kama likiwekwa kwenye kamusi kwamba kutakuwa na kamusi ya kike na kiumeMimi Nadhani Wanaume kuna Baadhi ya Maneno Kama Hayo Hamtakiwi Kuyatumia
Vichwa Vyetu tusibebee tu Meno na Na Ulimiitakuwaje kama likiwekwa kwenye kamusi kwamba kutakuwa na kamusi ya kike na kiume