Kuna house girl analalamika Boss wake anamfulisha vyupi, hii iko sawa?

Boss ni ke au Me?

KAma ni ke amuwekee upupu kidoogo pale katikati ya chupi hatakaa apewe tena kuzifua
 
Mliambiwa mkazane na masomo mkaona mnaonewa ss ushakuwa house girl unafulishwa vyupi unakuja kutusumbua. Ni sw kufulishwa vyupi sababu anakulipa kwenye mkataba hakuna kipengele kinachosema usifue vyupi kama unaweza fua jinsi ngumu unashindwaje vyupi
 
MBONA hio ni KAWAIDA maana NDO kazi ulio omba ukiona VIPI sepa


Kwishaaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…