KERO Kuna hujuma inaendelea hapa TRA Arusha

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua
Mhe Rais TRA Arusha wameblock baadhi ya machines za EFD za wafanyabiashara hapa Arusha, sijajua ni Arusha tu au Tanzania zima.

Halafu ili wafungue kuna rushwa kubwa wanadai yaani kwa ujumla hili zoezi ni sehemu kubwa ya upigaji unafanyika.

Hii wala si hujuma ni sehemu ya uraratibu wa kukulazimisha kulipa kodi hasa malimbikizo ya nyuma.
 
Mhe Rais TRA Arusha wameblock baadhi ya machines za EFD za wafanyabiashara hapa Arusha, sijajua ni Arusha tu au Tanzania zima.

Halafu ili wafungue kuna rushwa kubwa wanadai yaani kwa ujumla hili zoezi ni sehemu kubwa ya upigaji unafanyika.
mimi nilishakumbana na adha hiyo ni kweli sikutoa ripoti ya Z kwa siku 3 ikajifunga na nilipokwenda nilitakiwa lipa adhabu nikalipa na ikafunguliwa. Itakuwa ni hivyo ndugu kama hukutoa ripoti ya mauzo siku 3 lazima mashine ijifunge
 
Mtu biashara yake sio ya mauzo kila siku ni hadi upate tenda then ufanye kazi ndio umauzo.hapo hauni akilipishwa pesa ya kutotoa z report ni uonevii??
 
kwani z report kama hujauza sinatoka zero shida ni nini? tuaache wakati mwingine tafuta sababu ambazo hazina ulazima. Unaambiwa siku 3 usipotoa inajifunga kama hujafanya biashara ukituma ripoti hiyo tatizo lipo wapi.
 
Kama nilikuwa sijafunguwa biashara kwa siku hizo zote inakuaje?
 
Back
Top Bottom