Kuna hukumu gani endapo mwanafunzi akimpa mwalimu mimba?

Kuna hukumu gani endapo mwanafunzi akimpa mwalimu mimba?

Halim1997

Member
Joined
Sep 24, 2021
Posts
6
Reaction score
3
Ikitokea mwalimu mwanamke akabeba mimba ya mwanafunzi kisheria nani mkosa na ipi hukumu yake?
 
Mwalimu.
Ndiye mtuhumiwa.

Kinachomhukumu sio jinsi.
Ni Taaluma na/au Umri.
 
Back
Top Bottom