Technophilic Pool
JF-Expert Member
- Jan 18, 2024
- 2,597
- 3,965
wakuu,
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mafuta ya mafenesi auPakitokea mtu wa kufanya hiyo biashara, anicheki ili nianze kuwauzia mafuta.
Yaani unamaanisha mafuta Kwa ajili ya kutengulia fenesi🤣🤣🤣🤣 kweli mkuu you're not seriousPakitokea mtu wa kufanya hiyo biashara, anicheki ili nianze kuwauzia mafuta.
labda kwa ajili ya kusafirishia mafuta ya meli sijui ndegeYaani unamaanisha mafuta Kwa ajili ya kutengulia fenesi🤣🤣🤣🤣 kweli mkuu you're not serious
Ajib ndo nanHuyo jamaa amsikilize Ajib kwanza
Mjibu kwa kumtukana! Anafikri matunda London yanaingia holelaholela? Kuna watu wapuuzi dunia hii!
Ebu nipigie mstari hapa kwene point kuuMjibu kwa kumtukana! Anafikri matunda London yanaingia holelaholela? Kuna watu wapuuzi dunia hii!
Asante!!Ebu nipigie mstari hapa kwene point kuu
Hiyo bei ni nzuri lakini fanya research ya uhakika.