msaragambo
Senior Member
- Aug 6, 2008
- 127
- 17
Hilo halipo tena hapo tunasubiri tu watu wanaopenda nchi yao waseme root yake! linaelekea wapi!? NA MUNGU ATATUONYESHA TU NAAMINI HILO!Wanataka kulitorosha ilo gari la kura chakachuaji
we msaragambo acha uongo wako,hao FFU labda kama wapo mlangoni kwako mbona hawaonekani mitaani??? acheni kuwahadaa wana JF,kuna mengi ya kujadili huku badala ya majungu ya kula zenu.Leo asubuhi kuna kundi la askari wengi wa kutuliza ghasia wakiwa wamevalia mavazi rasmi tayari kwa mapambano,pia wameongozana na gari la upupu
Askari wametawanyika kila sehemu,haijulikani kuna tatizo gani maana hali ni swari na hakuna dalili ya fujo kila mtu yupo katika harakati zake za kawaida za maisha
Chakushangaza ni kwamba hawa askari wamekuja saa ngapi na kwanini wakati hakuna fujo wala dalili ya kuvunjika kwa amani kulikoshindikana kuwahitaji FFU
Watu wanaendelea na shughuli zao za kila siku na wasitake kutuletea balaa hawa hawana kazi?
View attachment 15533
we msaragambo acha uongo wako,hao FFU labda kama wapo mlangoni kwako mbona hawaonekani mitaani??? acheni kuwahadaa wana JF,kuna mengi ya kujadili huku badala ya majungu ya kula zenu.
Ndio mmetumwa eee Na mwaka huu Mtatafuta pa kutokea mshazoea mishahara na posho zisizokuwa na jasho....... Angalia attachment hiyowe msaragambo acha uongo wako,hao FFU labda kama wapo mlangoni kwako mbona hawaonekani mitaani??? acheni kuwahadaa wana JF,kuna mengi ya kujadili huku badala ya majungu ya kula zenu.
we msaragambo acha uongo wako,hao FFU labda kama wapo mlangoni kwako mbona hawaonekani mitaani??? acheni kuwahadaa wana JF,kuna mengi ya kujadili huku badala ya majungu ya kula zenu.