Kuna idadi kubwa ya sup UDSM

Kuna idadi kubwa ya sup UDSM

Perry

JF-Expert Member
Joined
Feb 24, 2011
Posts
10,058
Reaction score
2,195
Yani idadi ya raia tunaopiga supp hapa ni kubwa sana, utadhani chuo kishafunguliwa vile. Nimekutana na kundi la vijana flani wa kizungu ambao nao wamedakwa wanalalamika kwa kusema mfumo wa elimu ya Tanzania ni mgumu sana ukilinganisha na wa nchi zao..

Ila we dr karamagi fresh tu, umenidaka na ec 226 na wkt course work ilikua nzuri, ubarikiwe sana. over
 
Punguza kula bata piga msuli dogo
 
Poleni ndugu zangu kiukweli shule yetu hapo UDSM inahitaji nguvu nyingi sana vinginevyo wanakula kichwa, kwa experience yangu pale Conas rafiki zangu niliosoma nao advance nilishuhudia wanaaga kambi mchana kweupee, kisa Aris imesoma chini ya 1.8, wengine supp zinazid mtu anakata tamaa na kuachana na chuo kimya kimya ili akafanye mambo mengine
 
  • Thanks
Reactions: iny
Dalili zinaonesha mapemaa hiyo supp huchomoi itakudaka tena maana sababu unazotoa hazina kichwa wala miguu atakudakeni hata buku nyie kama vilaza Dr afanyeje ni kula vichwa tu!
 
Hafu mwaka huu wamedaka wengi chuoni wapo wengj kama kimefunguliwa vile kumbe ni september conference
 
Dalili zinaonesha mapemaa hiyo supp huchomoi itakudaka tena maana sababu unazotoa hazina kichwa wala miguu atakudakeni hata buku nyie kama vilaza Dr afanyeje ni kula vichwa tu!

Punguza munkari mkuu ile shule ya UDSM inataka moyo usimuite mtu kilaza maana kuna mambo mengi sana pale, kuna wakati mzigo unakua mkubwa na mhadhili anatabia zake tu mwingine bila kukamata haoni kama anafanya kazi, watu wengine ndo bahati mbaya anadakwa, mwingine kwa hira tu, mwingine anakua na special exams kutokana na sababu mbalimbali za kijamii au kiafya au kiuchumi,
ni rahisrahisihkuucheza uko nje ya uwanja ila ukiwa ndani Mpirautaona wake
 
Shule zote ni ngumu ni ukilaza wenu tu kwani hamna watu ambao hawana sup.
 
Yani idadi ya raia tunaopiga supp hapa ni kubwa sana, utadhani chuo kishafunguliwa vile. Nimekutana na kundi la vijana flani wa kizungu ambao nao wamedakwa wanalalamika kwa kusema mfumo wa elimu ya Tanzania ni mgumu sana ukilinganisha na wa nchi zao..

Ila we dr karamagi fresh tu, umenidaka na ec 226 na wkt course work ilikua nzuri, ubarikiwe sana. over

Pole ni mapito tu
 
Punguza munkari mkuu ile shule ya UDSM inataka moyo usimuite mtu kilaza maana kuna mambo mengi sana pale, kuna wakati mzigo unakua mkubwa na mhadhili anatabia zake tu mwingine bila kukamata haoni kama anafanya kazi, watu wengine ndo bahati mbaya anadakwa, mwingine kwa hira tu, mwingine anakua na special exams kutokana na sababu mbalimbali za kijamii au kiafya au kiuchumi,
ni rahisrahisihkuucheza uko nje ya uwanja ila ukiwa ndani Mpirautaona wake

Usijitetee wewe si wa kwanza kubukua hapo, watu tumepita hapo tena kitambo wakati muhandisi unatoka muhandisi kweli sio sasa hivi michakachuo kibao...mimi ni graduate wa 2002 nafahamu A-Z za hapo mlimani, wanaoshikwa vilaza wacheza viduku na disco!
 
Perry vipi kile kijiwe cha story za soka pale nyuma ya ATA/B maarufu kama TBS bado kipo ?
 
Last edited by a moderator:
Yani idadi ya raia tunaopiga supp hapa ni kubwa sana, utadhani chuo kishafunguliwa vile. Nimekutana na kundi la vijana flani wa kizungu ambao nao wamedakwa wanalalamika kwa kusema mfumo wa elimu ya Tanzania ni mgumu sana ukilinganisha na wa nchi zao..

Ila we dr karamagi fresh tu, umenidaka na ec 226 na wkt course work ilikua nzuri, ubarikiwe sana. over

Pole mkuu,,vp professor usoro amekuacha kweli?
 
Usijitetee wewe si wa kwanza kubukua hapo, watu tumepita hapo tena kitambo wakati muhandisi unatoka muhandisi kweli sio sasa hivi michakachuo kibao...mimi ni graduate wa 2002 nafahamu A-Z za hapo mlimani, wanaoshikwa vilaza wacheza viduku na disco!

Sawa mkuu wewe ni kipanga sana, hongera sana lazima uwaone wengine vilaza kwa sababu ulichomoka
 
Usijitetee wewe si wa kwanza kubukua hapo, watu tumepita hapo tena kitambo wakati muhandisi unatoka muhandisi kweli sio sasa hivi michakachuo kibao...mimi ni graduate wa 2002 nafahamu A-Z za hapo mlimani, wanaoshikwa vilaza wacheza viduku na disco!

Mimi nilisoma UDSM usidhani kama najitetea kwa lolote, ninachojaribu kusema ni ambacho wakati nasoma pale nilikiona hizi habari za kuwabeza watu na kuwaita vilaza kwa kuwajumuisha sio vyema kwa sababu kila mtu hupata supp kwa sababu mbalimbali.
Utaona wewe ni genius kwa sababu hakuna siku uliteleza
 
Dah! UDSM my old hood, Campus to Mabibo, Mabibo to Campus, Wali wa Mpemba mtamu huo, Block C was my hood.......

Mkuu GAUTAMA, njoo ata mara1 ututembee wadogo zako, sikuhizi mpemba wali 1'500 asee, watoto wa wafugaji tunaishia kula kwa mama ndumbi na cafeteria.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom