Dalili zinaonesha mapemaa hiyo supp huchomoi itakudaka tena maana sababu unazotoa hazina kichwa wala miguu atakudakeni hata buku nyie kama vilaza Dr afanyeje ni kula vichwa tu!
Yani idadi ya raia tunaopiga supp hapa ni kubwa sana, utadhani chuo kishafunguliwa vile. Nimekutana na kundi la vijana flani wa kizungu ambao nao wamedakwa wanalalamika kwa kusema mfumo wa elimu ya Tanzania ni mgumu sana ukilinganisha na wa nchi zao..
Ila we dr karamagi fresh tu, umenidaka na ec 226 na wkt course work ilikua nzuri, ubarikiwe sana. over
Punguza munkari mkuu ile shule ya UDSM inataka moyo usimuite mtu kilaza maana kuna mambo mengi sana pale, kuna wakati mzigo unakua mkubwa na mhadhili anatabia zake tu mwingine bila kukamata haoni kama anafanya kazi, watu wengine ndo bahati mbaya anadakwa, mwingine kwa hira tu, mwingine anakua na special exams kutokana na sababu mbalimbali za kijamii au kiafya au kiuchumi,
ni rahisrahisihkuucheza uko nje ya uwanja ila ukiwa ndani Mpirautaona wake
Yani idadi ya raia tunaopiga supp hapa ni kubwa sana, utadhani chuo kishafunguliwa vile. Nimekutana na kundi la vijana flani wa kizungu ambao nao wamedakwa wanalalamika kwa kusema mfumo wa elimu ya Tanzania ni mgumu sana ukilinganisha na wa nchi zao..
Ila we dr karamagi fresh tu, umenidaka na ec 226 na wkt course work ilikua nzuri, ubarikiwe sana. over
Usijitetee wewe si wa kwanza kubukua hapo, watu tumepita hapo tena kitambo wakati muhandisi unatoka muhandisi kweli sio sasa hivi michakachuo kibao...mimi ni graduate wa 2002 nafahamu A-Z za hapo mlimani, wanaoshikwa vilaza wacheza viduku na disco!

Dah! UDSM my old hood, Campus to Mabibo, Mabibo to Campus, Wali wa Mpemba mtamu huo, Block C was my hood.......