Street brain
JF-Expert Member
- Oct 24, 2022
- 584
- 767
Ujue ukimtongoza Mwanamke halafu akishasema NDIO ama AMEKUBALI huwa ghafla unajiona huna cha kumwambia😀😀 yani maneno yote yanaisha kwa muda.
Hii Anawaambia ya mwisho sirudii tena, Ukishamtongoza akasema amekubali kuwa na wewe hapo cha kufanya ni kumwambia Weekend naomba tuonane, Usimwambie lini upo free tuonane 😃
Hatari sana. Watu wengi huwa tunatania lakin unapata majibu hapo hapo. Na ukijifanya unazingua kutekeleza ulichoomba anakuwezesha sasa kwa lazima. Yan ni kama na yeye alikuwa anatamani umtongoze.
Hapo cha kufanya mwambie tu basi nashukuru nitakupenda na kukulinda mrembo unaweka tu uongo ilii upate kulala kesho upige tena uongo....
Kwenu jfmapenzi