Kuna jam karibu na Kimara

Kuna jam karibu na Kimara

Rodwell mTZ

JF-Expert Member
Joined
Nov 16, 2012
Posts
1,455
Reaction score
1,621
Kuna magari yamekwanguana muda huu eneo la Korogwe karibu na Kimara barabara ya Morogoro, magari hayo yameziba njia, mnaokuja mkitokea Ubungo piteni service road, mlio nyuma zaidi mnaweza mkabadili njia.
 
Kuna magari yamekwanguana mda huu eneo la Korogwe karibu na Kimara barabara ya Morogoro,magari hayo yameziba njia,mnaokuja mkitokea Ubungo piteni service road,mlio nyuma zaidi mnaweza mkabadili njia.
Haya mdio mashida ya kutokuwa na ITS ...
 
Udereva bongo changamoto....hapo wote mnaelekea uelekeo mmoja na hampishani na chochote si gari wala boda boda na bado mnakwanguana.
 
Back
Top Bottom