Kuna magari yamekwanguana muda huu eneo la Korogwe karibu na Kimara barabara ya Morogoro, magari hayo yameziba njia, mnaokuja mkitokea Ubungo piteni service road, mlio nyuma zaidi mnaweza mkabadili njia.
Kuna magari yamekwanguana mda huu eneo la Korogwe karibu na Kimara barabara ya Morogoro,magari hayo yameziba njia,mnaokuja mkitokea Ubungo piteni service road,mlio nyuma zaidi mnaweza mkabadili njia.