Kuna jamaa hapa anafanyiwa kitu ambacho wanaume wengi hawapend.

Tehteh
 
watu mnawaza uzinzi tangu asubuhi hadi usiku, hamna lingine la kuwaza ndo maana mnatawaliwa hadi na bashite nyie wanaume wa daslam.
 
Kwahiyo
 
Wazuri sana mabinti wa hivyo. Ukikomaa wala hawakawii kubadili mada.

Utasikia, Oooh sipendi kuchezewa. Mara...napenda nikikuamini uje kunioa,ukiniacha nita...... n.k.

Ila siyo vema kuchezea watoto wa wenzenu kama unajua nia yako ni kula,kunawa na kusepa
 
😀😀😀😀...'Dada hayo nayajua mie hapa nia yangu kuu ni kukutongoza, hayo unayonieleza tuongee tukitoka church jumapili, nitasali kwenu, in short nakutaka kimapenzi tusipoteze muda na hizo stori za jumapili" 😀😀😀
 
hahahahahahahaha....
hahahahahahqhahqha....
hahahahahahahahqhq.....
hahahqhahahahahaha....
 
Jua mistari ya biblia na ratiba za kanisa hutashangaa ya wanawake wanakwaya!
 
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] arudi rivaz kwanza.
 
Mbona kama unapiga ngoma na kucheza mwenyewe?

Kwa uanaume wako ndioy unadhani humhitaji Mungu?

Wewe ndiye mwanamme mpumbavu. Werevu wananyamaza kimya na hwaongei mambo wasiyoyajua.
Hataki kuambiwa mambo ya Mungu,anataka kuambiwa umechukua chumba?
 
Mlikuwa wenyewe au na abiria wengine,ukuchafuka au alimeza,hii ilikuwa zaidi ya safari.
 
Mbona kama unapiga ngoma na kucheza mwenyewe?

Kwa uanaume wako ndioy unadhani humhitaji Mungu?

Wewe ndiye mwanamme mpumbavu. Werevu wananyamaza kimya na hwaongei mambo wasiyoyajua.
Babu mzaa baba padre akamzaaje baba sasa[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Ndio maana ma ajali ya basi yalishamiri kuumbe kuna wazinzi wanafanya uzinzi kwenye basi.

Shame!!
 
So we ulienda hapi mgahawani kuchunguza watu anyway I enjoyed
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…