Kuna jamaa kakuta message za rafiki yake akimtongoza mke wake kwenye simu ya mke wake

VINICIOUS JR

JF-Expert Member
Joined
Dec 29, 2022
Posts
208
Reaction score
518
Kwema ndugu zangu.

Kama mada inavojieleza hapo juu, kuna mshikaji ana mke wake amezaa nae watoto wawil huyo wa pili ana miezi minne sasa, ila kwa sasa huyo mke yupo anaishi kwa wazazi wake alikuja kujifungua tu anavodai ila anaishi mkoa mwingne kutokana na shughuli zake au ajira na mme wake bado yupo mkoa waliokuwa wakiishi mwanzo na mkewe ila kwa sasa mme anaishi pamoja na rafiki yake wa kiume ambae ameomba hifadhi kutokana na maisha yamempiga anavyodai.

Sasa cha ajabu mpewa hifadhi anamtongoza shem wake kwa meseji na mwenye mke kazifuma hizo meseji baada ya kushika simu ya mkewe, Sasa jamaa baada ya kuziona hizo message alivomuuliza mke wake, mke anamshauri mme wake avunge kama hajaona kitu hasimuulize chochote huyo rafiki yake akidai ndo uungwana

Hii aimekaeje wadau?
 
Chekea nyani uvune mabua..

Mwanaume kamili ulinda familia yake uwa sicheki nakima
 
Tanzania Tea Blenders
 
Amepataa alichokutafuta simu ya mke sumu mume.maziwaa
 
Kama hawajakatana mapanga basi alihamdulilah wabarakat
 
Sihitaji marafiki - fiq Q
 
Acha umbea
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…