mme wake bado yupo mkoa waliokuwa wakiishi mwanzo na mkewe ila kwa sasa mme anaishi pamoja na rafiki yake wa kiume ambae ameomba hifadhi kutokana na maisha yamempiga anavyodai.
Kwahiyo jamaa kashindwa cha kufanya!
Au ndo kakuambia ili umshauri nawe ndo ukaleta jamvini lijadiliwe?
Hivi ni kweli huwa jambo dogo kama hilo umashindwa cha kufanya!